Sunday, February 13, 2005

blogu ya maana

Hauskii ...nimeona haya kuwa wakati huu mwote sijapata kujua umaarufu wa waandishi humu ki-blogosphere. tafadhali msinicheke..lugha yangu imeraruliwa na uamerica.

Lakini inabidi msome Mawazo na mawaidha ya mwandishi huu..ambaye isipokuwa hatakustua-stua na ujuzi wake wa lugha, ata kustua na ujuzi wake wa mambo leo leo.

No comments: